- 405 viewsDuration: 51sSiku kuu ya Mashujaa itaandaliwa katika kaumti ya kitui tarehe 20 mwezi ujao. Tayari kaunti hiyo imeanza kushuhudia mabadiliko kupitia ukarabati wa muundomsingi huku umeme, maji, na huduma za serikali zikiimarishwa kwa wakaazi.