- 453 viewsDuration: 1:19Viongozi wapya wa chama cha odm katika kaunti ya busia wamepuuza malalamishi ya hivi majuzi ya wizi wa kura katika uchaguzi wa chama hicho huku wakisema kuwa tayari wameanzisha mikakati ya kuboresha chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.