Serikali ya kaunti ya Mombasa yasema haina madeni yoyote kwa sasa

  • | Citizen TV
    299 views

    Serikali ya kaunti ya Mombasa haidaiwi pesa zozote na wahudumu wa sekta mbali mbali wakiwemo wahudumu wa Afya Kwa utendakazi wake mwaka wa 2022 hadi Mwezi mwishoni mwa mwezi Juni mwaka wa 2023. Gavana wa Mombasa Abdullswamad Sherrif Nassir, alieleza kamati ya bunge la Seneti kuhusu utumizi wa fedha za uma kwamba serikali yake ilifanikiwa kulipa wahudumu wote kutokana na mfumo Mwafaka wa kukusanya mapato.