Watoto wa Ghana wachukuliwa kwa nguvu kutoka katika makazi yao
Uchunguzi wa BBC Africa Eye umeibua wasiwasi mkubwa kuhusu mojawapo ya mashirika makubwa duniani ya kupambana na utumwa na operesheni zao za Afrika Magharibi.
Operesheni ya Kimataifa ya Haki (IJM) ilikusanya zaidi ya pauni milioni tatu nchini Uingereza mwaka jana kwa msaada wa kutoka karibu makanisa 300 kote nchini.
Baadhi ya shughuli zinazofadhiliwa na fedha nchini Ghana, IJM inalenga kuwaokoa watoto waliosafirishwa na kuwaunganisha na familia zao.
Hata hivyo, uchunguzi wa siri wa BBC umepata ushahidi kwamba shughuli za shirika hilo la kutoa misaada zimesababisha baadhi ya watoto kuchukuliwa kutoka kwa familia zao, katika msako mkali wa usiku.
#bbcswahili #ghana #afrcaeye
18 May 2024
- The shilling has strengthened against the Euro and the Sterling Pound by 18 per cent.
18 May 2024
- On Friday, 14 MPs from the Democratic Party accused the House Speaker of disrespecting Kenya.
18 May 2024
- Raila made his intention clear at a rally in Suna East, Migori County.
19 May 2024
- Hundreds of protesters in Peru's capital marched on Friday to demand the scrapping of a new law that describes transgender people, among others, as having a mental illness so they can access health benefits.
19 May 2024
- Israeli troops and tanks pushed on Saturday into parts of a congested northern Gaza Strip district that they had previously skirted in the more than seven-month-old war, killing and wounding dozens of Palestinians, medics and residents said.
19 May 2024
- Slovakia's health minister said Saturday the prognosis for Prime Minister Robert Fico was "positive" after an assassination attempt as a court put the suspected gunman in pre-trial detention.
19 May 2024
- Hundreds of residents from Cheptigit village in Kerio Valley will spend the night in the cold after the Kenya Wildlife Service (KWS) embarked on the demolition of houses for what it terms as encroachment.
19 May 2024
- The Orange Democratic Movement (ODM) party MPs have rallied to have the Azimio coalition shoot down the Finance Bill, 2024 terming it punitive and unbearable.
19 May 2024
- Firm charts green energy path with low-carbon emission engines
19 May 2024
- CA pushes for Sh88.5b nation-wide broadband
19 May 2024
- Kabarak, FKE unite to bridge industry gaps
19 May 2024
- Ruto allies accuse leaders of tribalism over Limuru 3
19 May 2024
- New Eco Levy threatens Kenya's green future and jobs, say experts