Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo awahimiza vijana kushiriki kikamilifu katika siasa

  • | KBC Video
    158 views
    Duration: 3:02
    Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amewahimiza vijana kushiriki kikamilifu katika siasa ikiwa wanataka kubadili mwelekeo wa taifa hili katika siku zijazo. Kalonzo alisisitiza ipo haja kwa vijana kujihusisha na masuala ya siasa ili kuchangia katika utoaji wa maamuzi pamoja na kupigania majukumu ya uongozi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive