- 21 viewsDuration: 2:24Vijana wamehimizwa kukumbatia mbinu za kujitegemea na ujasiriamali ili kujipatia kipato badala ya kutilia mkazo kuajiriwa. Washiriki wa kongamano la kitaifa kuhusu ajira lililoandaliwa na Halmashauri ya Kitaifa ya Ajira kwa ushirikiano na wizara ya leba hata hivyo waliitaka serikali kushirikiana na sekta ya binafsi ili kubuni nafasi zaidi za ajira. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive