Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Utalii Xinjiang

  • | KBC Video
    18 views
    Duration: 3:30
    Xinjiang, eneo lililoko kaskazini-magharibi mwa China, limeibuka kama kitovu cha utalii na biashara, kutokana na miundombinu iliyoboreshwa pamoja na nafasi yake ya kipekee ya kijiografia. Zaidi ya safari milioni 300 za watalii katika eneo hilo zilinakiliwa mwaka 2024, huku biashara ikikua kwa asilimia 28 katika nusu ya kwanza ya mwaka 2025. Wachambuzi wanasema kuwa mkoa huo unazidi kuwa lango muhimu la kuunganisha Asia na bara Ulaya. Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive