Kwa nini wakaazi wengi wa kaunti ya Tana River hufanya kazi Garissa

  • | Citizen TV
    392 views

    Je, wajua kuwa aslimia kubwa ya wakaazi wa kaunti ya Tana River hufanya kazi kaunti ya Garissa? Hii ndio hali ambayo hushuhudiwa kila siku, katika eneo la Madogo lililo kwenye eneo la mpaka wa kaunti hizi mbili. Mwanahabari wetu feisal abdulrahman alifuatilia baadhi ya wakaazi kubaini ni yapi yanayoendelea wanapovuka mpaka huu kwenye taarifa ifuatayo