Jamii ya Abagusii eneo la Nyanza yajivunia tamaduni zake

  • | Citizen TV
    456 views

    Jamii ya Abagusii inayopatikana Kusini mwa eneo la Nyanza, inajivunia tamaduni mbalimbali kama vile nyimbo zao zilizoimbwa katika majira na sherehe maalum kama vile za kuzaliwa, tohara, harusi na mazishi kati ya sherehe nyingine. Hata hivyo tamaduni hii inahofiwa kuwa katika hatari ya kupotea.