Wakaazi wa Tana Delta wanaishi kwa hofu baada ya kupoteza mifugo 300 kwa muda wa miezi tatu

  • | Citizen TV
    139 views

    Wakaazi wa kijiji cha Kone eneo la Tana Delta wanaishi kwa hofu baada ya kupoteza zaidi ya mifugo 300 kwa muda wa miezi 3.