Wakaazi eneo la kibomet waishi kwa hofu baada ya mabwawa kutokomezwa na magugu maji

  • | Citizen TV
    503 views

    Wakaazi wa eneo la kibomet kaunti ya Trans-Nzoia, wanaishi kwa hofu baada ya mabwawa waliyokuwa wakiyategemea kupata maji ya mashamba na mifugo yao kuanza kutokomezwa na magugu maji. Magugu maji haya yalianza kumea ndani ya mabwawa haya na kuibua wasiwasi miongoni mwa wakaazi.