Wapemba wameishi nchini kwa miaka mingi bila kutambuliwa

  • | Citizen TV
    368 views

    Kwa miaka zaidi ya 40 jamii ya Wapemba wamekua na changamoto za uraia haswa katika ukanda wa pwani. Katika kaunti ya Kilifi jamii hiyo yenye watu zaidi ya 7,000 watapokea stakabadhi muhimu kama vitambulisho, vyeti vya kuzaliwa na pasipoti. Rais William Ruto ataongoza hafla hiyo Kilifi mjini.