Waathiriwa wa mkasa wa bwawa la Patel eneo bunge la Solai wataka kesi iondolewe kortini

  • | Citizen TV
    121 views

    Waathiriwa wa msiba wa bwawa la Patel eneo bunge la Solai Kaunti ya Nakuru lililovunja kingo zake na kuwauwa watu zaidi ya 45 mwaka wa 2018 wameiomba serikali na mahakama kuwaruhusu kutatua kesi hiyo nje ya korti.