Gavana Lusaka azindua huduma ya afya ya msingi (PHC) Sang'alo

  • | Citizen TV
    188 views

    Gavana wa Bungoma Kenneth Lusaka amezindua Huduma ya Afya ya Msingi (PHC) katika kituo cha afya cha Mechimeru katika wadi ya East Sang’alo eneo mbuge la Kanduyi.