Wawakilishi wadi wa Azimio Vihiga wawakumbuka waathiriwa

  • | Citizen TV
    330 views

    Wawakilishi wadi wa mrengo wa Azimio kaunti ya Vihiga wameaungana na wakenya kufanya maombi kwa waliopoteza maisha yao kwenye maandamano wiki jana.