Wizara ya afya yahamasisha umma kaunti ya Siaya

  • | Citizen TV
    64 views

    Wizara ya afya imeanzisha mikakati ya uhamasisho wa wahudumu wa afya wa kujitolea katika kaunti ya Siaya ili kuwasaidia katika usambazaji wa dawa za kukabili kichocho na minyoo katika kaunti hiyo.