Kaunti ya Migori yatoa vizimba kwa wafugaji ziwani Victoria

  • | Citizen TV
    177 views

    #CitizenTV #Kenya #news Serikali ya kaunti ya Migori imetoa vizimba vya samaki kwa wavuvi katika kaunti hiyo kama njia ya kuimarisha ukuzaji wa samaki ambao kwa miaka mingi wamekuwa kitega uchumi Kwa wenyeji hao wanaoishi kando ya Ziwa Viktoria.