Simulizi ya mwenyekiti wa Kakamega Homeboyz Shimanyula

  • | Citizen TV
    497 views

    Cleophas Shimanyula si jina geni katika ulingo wa soka nchini Kenya. Mwenyekiti huyo wa Kakamega Homeboyz anasema aliamua kubuni timu hiyo ya soka ili kusaidia talanta nyingi mashinani ambazo hazikuwa zikipata fursa ya makuzi ila kupitia kwa klabu hiyo, sasa zimepata sehemu ya kuchipuza hadi katika ligi kuu soka nchini FKF.