Usimamizi wa kanisa la PCEA wachunguza madai ya dhuluma katika makao ya wazee eneo la Thogoto

  • | Citizen TV
    236 views

    Kanisa la PCEA limeanza upekuzi na kupeleleza matukio ya ndani ya nyumba ya wazee iliyoko Thogoto Kikuyu na inayo simamiwa na kanisa hili.