Wakaazi wa Turkana kusini wandamana kwa afisi ya msajili mkuu wa ardhi kupeana stakabadhi Za usajili

  • | Citizen TV
    103 views

    Wakaazi wa Vijiji vya Loperot na Kalapata Turkana kusini wameandamana hadi katika afisi ya msajili mkuu wa ardhi katika mji wa Kapenguria Kaunti ya Pokot magharibi kupeana nyaraka na stakabadhi ya kusajili ardhi yao.