Wazee zaidi ya 24 wauwawa kwa tuhuma za uchawi katika kaunti za Kilifi na Kwale

  • | Citizen TV
    585 views

    Wazee zaidi ya 24 wameuwawa kwa tuhuma za uchawi katika kaunti za Kilifi na Kwale chini ya muda wa miezi saba. Hayo ni kulingana na ripoti ya mashirika ya kijamii. Ripoti hiyo ni utafiti ambao umechukua muda wa mwaka mmoja inaangazia majukumu ya vitengo tofauti vya serikali kuu na ile ya kaunti katika juhudi za kuwalinda wakongwe.