Skip to main content
Skip to main content

‘Bado sijafika hata nusu ya ndoto zangu’ Zuchu

  • | BBC Swahili
    11,769 views
    Duration: 7:38
    Zuhura Othman, almaarufu 'Zuchu' ni mwanamuziki wa Bongo Flava nchini Tanzania. Zuchu pia ni mke wa mwanamuziki na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platinumz. Mwanamuziki huyu amejizolea umaarufu mkubwa kote Afrika Mashariki, na kwa wengi anaonekana kuishi maisha ya kifahari, lakini mwenyewe anasema bado hajafikia hata nusu ya ndoto zake. BBC ilipata nafasi ya kuzungumza nae alipokuwa nchini kenya jijini Nairobi. Mtangazaji kinara wa Dira tv Roncliffe Odit alifanya kikao maalum nae na kutaka kujua ni kwa nini bado hajafikia ndoto zake?.... Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw