Mkuu wa elimu wa Siaya awashauri wazazi kushirikiana na walimu kwa utekelezwaji wa CBC

  • | Citizen TV
    226 views

    Mkuu wa elimu katika kaunti ndogo ya Siaya, Richard Obonyo, amewataka wazazi kukumbatia, kujihusiha kikamilifu na kusaidia utekelezaji wa mtaala mpya wa umilisi, CBC, ili kuhakikisha wanafunzi wananufaika.