Wizara ya Madini na uchumi wa bahari yazindua mradi endelevu wa uhifadhi wa maeneo ya bahari

  • | Citizen TV
    172 views

    Wizara ya Madini na uchumi wa bahari na maziwa imezindua mradi endelevu wa uhifadhi wa maeneo ya bahari na nchi kavu wa COSME katika kaunti za Kwale na Kilifi.