Wakuu wa usalama kaunti ya Tana River wahimiza wazazi kufuatilia mienendo ya watoto wao

  • | Citizen TV
    149 views

    Wakuu wa usalama pamoja na viongozi kutoka Madogo kaunti ya Tana River wamehimiza wazazi kufuatilia kwa karibu mienendo ya watoto wao ili kujua yale wanayofanya wakati wa usiku.