Maafisa na wakazi wa Kapkitany wafanya kikao na viongozi kufuatia visa vya uvamizi kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    186 views

    Maafisa wa usalama , na wakazi kutoka Kijiji Cha Kapkitany kwenye eneo bunge la Aldai kaunti ya Nandi wamefanya kikao na viongozi wa eneo hilo kufuatia uvamizi ambapo mtu mmoja alijeruhiwa kwa mishale huku nyumba tatu, mifugo na migomba zikiteketezwa