Mwili wa mvulana mwenye umri wa miaka 16 wakopolewa katika bwawa la kwa Savano kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    436 views

    Mwili wa mvulana mwenye umri wa miaka 16 aliyezama katika bwawa la kwa Savano, gatuzi dogo la Matungulu kaunti ya Machakos umeopolewa baada ya saa 24 za kutafutwa na majirani, marafiki na wahisani.