Watu wawili wafariki na wengine saba kulazwa hospitalini baada ya kula ugali wenye sumu

  • | Citizen TV
    1,266 views

    Watu wawili wamefariki na wengine saba kulazwa wakiwa katika hali mahututi baada ya kula ugali wenye sumu. Watu hao wamelazwa katika hospitali ya Thika Level Five kaunti ya Kiambu huku uchunguzi ukiendelea kubaini kiini cha kisa hicho.