Makundi ya vijana yaanzisha shughuli za kusafisha mji Maralal kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    233 views

    Makundi ya vijana katika kaunti ya Samburu chini ya mwavuli wa SASA NI SISI yameanzisha shughuli za kusafisha mji Maralal. Vijana hao wanaitaka Serikali ya Kaunti kuboresha usafi wa mji huo Kwa kutenga sehemu za kutupa takataka .