Asilimia 60% ya vijana wazidi kukumbwa na changamoto ya ukosefu wa ajira kaunti ya TaitaTaveta

  • | Citizen TV
    224 views

    Asilimia 60% ya vijana katika kaunti ya TaitaTaveta wanazidi kukumbwa na changamoto ya ukosefu wa ajira. kulingana na idara ya Vijana katika kaunti hio, Hali hii imesababisha vijana wengi kupata msongo wa mawazo na kupelekea wengi wa vijana kuathirika na msongo wa mawazo .