Wanafunzi wanaofadhiliwa na benki ya Equity wapokea mafunzo ya uongozi na maadili katika jamii

  • | Citizen TV
    240 views

    Katika kaunti ya Nakuru jumla ya wanafunzi 1,474 waliyochini ya wakfu wa elimu ya Wings to fly wanaofadhiliwa na benki ya Equity hii eleo wanapokea mafunzo ya uongozi na maadili katika jamii.