Rais william Ruto atarajiwa kufungua rasmi kongamano la ugatuzi mjini Eldoret

  • | Citizen TV
    435 views

    Rais william Ruto anatarajiwa kufungua rasmi kongamano la ugatuzi mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Kongamano hilo la siku tatu linaangazia masuala mbalimbali ya ugatuzi zikiwemo changamoto pamoja na mbinu za kuboresha huduma zilizogatuliwa. John wanyama anafuatilia yanayojiri kwenye kongamano hilo la magavana wa kaunti.