Hama Hama Garissa

  • | TV 47
    71 views

    Gavana wa garissa Nathif Jama sasa amekanusha madai kuwa kuna makabiliano ya kimbari katika kaunti hiyo, huku akimsuta kamishna wa mkoa wa kasikazini mashariki kwa kueneza uvumi huo ambao sio wa kweli.

    Na kama anavyotuarifu haya yanajiri licha ya watu 10 kufariki kufuatia mashambulizi hayo ambayo sasa gavana jama anasisitiza yanatekelezwa na magenge.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __