14 Sep 2025 7:48 pm | Citizen TV 293 views Duration: 42s Kcb RFC wameendeleza kukoleza wino wa jina lake kwenye raga nchini baada ya kunyakuwa ubingwa wa msururu wa raga ya wachezaji saba mwaka 2025 ikiwa timu yenye rekodi kubwa zaidi katika miaka 26 ya mchuano huo.