Raila na Gachagua wajibizana kwenye mazishi

  • | Citizen TV
    22,442 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ametofautiana vikali na kinara wa Azimio Raila Odinga kwenye mazishi ya aliyekuwa shujaa wa Mau Mau John Njigoya Kagwe. Naibu rais alimuonya Odinga dhidi ya kuandaa maandamano dhidi ya serikali huku odinga akishikilia kuwa upinzania utaandaa maandamano iwapo mazungumzo hayatasababisha gharama ya maisha kushuka.