Wafanyibiashara wakadiria hasara kubwa baada ya kukaa bila umeme

  • | Citizen TV
    1,263 views

    Wafanyibiashara wamekadiria hasara ya maelfu ya pesa kutokana na kupotea kwa nguvu za umeme kwa takriban saa 15. Biashara zinazotegemea nguvu za umeme kwa uzalishaji zilisalia kufungwa huku wale wanaohusika na biashara za vyakula kama vile nyama wakilalamika vyakula hivyo kuharibika. Aidha dawa zinazohifadhiwa kwenye majokofu ziliharibika katika baadhi ya maduka ya dawa