Wakulima makueni watumia nepi kuhifadhi maji

  • | Citizen TV
    1,807 views

    Wakati Taifa la Kenya linapojiandaa kwa kongamano la Bara la Afrika la mabadiliko ya tabianchi mwezi ujao, malengo makuu ni kuafikia kawi safi na mikakati ya ufadhili kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa bara la Afrika na ulimwengu wote