15 Sep 2025 1:07 pm | Citizen TV 871 views Duration: 1:45 Mwanamume Mmoja kutoka Kijiji Cha Kipsarwet Katika wadi ya Rongena Manaret iliyoko eneo bunge la Sotik Kaunti ya Bomet anazuiliwa katika kituo cha polisi Cha Chebilat kwa madai ya kumuua mwanawe.