Skip to main content
Skip to main content

Msongo wa mawazo waathiri wakazi wengi wa Tharaka

  • | Citizen TV
    163 views
    Duration: 1:06
    Visa vya matatizo ya afya ya akili vimeongezeka mno Katika eneo la Tharaka kaunti ya Tharaka Nithi , hasa miongoni mwa watoto na vijana wenye umri wa miaka 8 hadi 24.