Wafanyibiashara walalamika kuhusu idadi ndogo ya wateja wa kununua bidhaa tofauti

  • | K24 Video
    62 views

    Wafanyibiashara walalamika kuwa bidhaa wanazo sokoni na madukani ila wateja wamepungua. Hali hiyo wanasema inawasababishia hasara lakini wateja nao wanalalamika uwezo wao wa kununua bidhaa kama awali umekuwa mdogo kutokana na bei kuongezeka ilhali mapato yao yangali yale yale.