Skip to main content
Skip to main content

Majambazi wavamia kanisa la ACK na kuiba vipaza zauti na vifaa vyote vya muziki

  • | NTV Video
    189 views
    Duration: 1:39
    Waumini wa kanisa la ACK, mtakatifu Maria Ngonda eneo la Matungulu kaunti ya Machakos walilazimika kuendesha ibada bila vyombo vya muziki, baada ya majambazi kuvamia ofisi ya kanisa na kuiba vipaza zauti na vifaa vyote vya muziki. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya