Wabunge waanda kikao maalum kuidhinsha walioteuliwa kuongoza benki kuu na mkuu wa DCI

  • | Citizen TV
    405 views

    Bunge la kitaifa limeandaa kikao maalum cha wabunge kuidhinisha majina ya walioteuliwa kuongoza benki kuu ya kenya na ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma