Wakazi wa maeneo ya Laikipia West wakodolea macho baa la njaa baada ya mimeayao kunyaukia shambani

  • | Citizen TV
    280 views

    Wakazi wa maeneo ya Laikipia West kaunti ya Laikipia wanakodolea macho baa la njaa baada ya mimea yao kunyaukia shambani kutokana na ukosefu wa mvua.