Philomena Mwilu asisitiza umuhimu wa uhuru wa mahakama ili kuiwezesha kutekeleza majukumu yake

  • | Citizen TV
    1,163 views

    Naibu Jaji mkuu Philomena Mwilu amesisitiza umuhimu wa uhuru wa idara ya mahakama ili kuiwezesha kutekeleza majukumu yake ipasavyo. akisoma hotuba ya jaji mkuu Martha Koome katika kongamano hilo la siku tatu la majaji linalofanyika mjini mombasa, mwilu amesema kuwa uhuru huo utawahakikishia haki na usawa wakenya wote.