Skip to main content
Skip to main content

Wakazi waandamana Ruiri-Isiolo kufuatia ongezeko kwa visa vya ukosefu wa usalam na wizi wa mifugo

  • | NTV Video
    96 views
    Duration: 2:12
    Usafiri ulisitishwa katika barabara ya ruiri–isiolo, kwenye mpaka wa kaunti za Meru na Isiolo, baada ya wakazi kuandamana wakilalamikia kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama na wizi wa mifugo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya