Rais Ruto ashinikizwa kuwafuta kazi baadhi ya mawaziri

  • | Citizen TV
    6,726 views

    Shinikizo zaidi zimeendelea dhidi ya Rais William Ruto kuwafuta kazi baadhi ya mawaziri wake kutokana na misimamo yao kuhusu kupanda kwa gharama ya maisha nchini. Matamshi ya Waziri wa Biashara Moses Kuria na mshauri wa rais wa maswala ya uchumi david ndii yakimulikwa. Na kama brenda wanga anavyoarifu, baraza la mawaziri la Rais Ruto limepigwa darubini kwa ndivyo sivyo yake