Maelfu ya wakaazi wajitokeza kwa tamasha ya 'Love Nairobi'

  • | Citizen TV
    752 views

    Maelfu ya wananchi walifurika uwanja wa chuo kikuu cha Nairobi kwa tamasha la Love Nairobi. Waliohudhuria walitumbuizwa na msanii maarufu Don Moen