Kenya yashikilia nafasi ya tano katika uzalishaji kahawa, licha ya fursa nyingine kulipiku zao hilo

  • | VOA Swahili
    740 views
    Shirika la kimataifa la kahawa linasema kwamba Kenya inashikilia nafasi ya tano katika uzalishaji wa kahawa barani Afrika. Lakini wakulima wa zao hilo wanasema kuna fursa mpya zimelipiku zao hilo kutokana na kushuka kwa soko lake. Lakini wakulima wa kahawa nchini Kenya wanaendelea kuathiriwa na mabadilko ya hali ya hewa, bei na sasa, na ujenzi wa nyumba unaoendelea. Harrison Kamau anasoma ripoti ya mwandishi wetu wa Nairobi Frncis Ontomwa. #shirika #kimataifa #kahawa #kenya #uzalishaji #afrika #haliyahewa #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.