kikao cha 78 cha Majadiliano ya Jumla: Lengo la Maendeleo Endelevu kutawalia Mkutano Mkuu wa UN

  • | VOA Swahili
    327 views
    Viongozi wanashiriki katika mkutano wa siku mbili wa Lengo la Maendeleo Endelevu katika makao makuu ya UN, New York, Marekani kuanzia Jumatatu, ambapo taasisi hiyo ya dunia inasema inalenga kuzungumzia jinsi ya kufikia malengo hayo. Kauli mbiu ya jumla mwaka huu ya UNGA pia inataka hatua zaidi zichukuliwe ili kufanikisha Malengo ya Maendeleo Endelevu. #viongozi #mkutano #lengo #maendeleoendelevu #UN #voa #voaswahili #dunianileo