Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga adai kukamatwa na maafisa wa polisi

  • | K24 Video
    31 views

    Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga amedai watu anaoamini walikuwa maafisa wa polisi walimkamata na kumhangaisha na hata kumdhulumu badala ya kufuata sheria ya kumkamata na kumfikisha katika kituo cha polisi au mahakamani. Haya yanajiri huku mahakama nayo ikiombwa na mawakili wa Njenga kumhakikishia usalama wake dhidi kudhulimiwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa polisi